# Ndinga App — Ndinga App

> Ndinga App (iPhone/iPad app by Mashauri Salumbo.)

- Source: https://appshunter.io/ios/app/ndinga-app/id6758467495 (this page in markdown: same URL + `.md`)
- Developer: [Mashauri Salumbo](https://appshunter.io/developer/1873110750)
- Category: Productivity
- Price: Free
- Age rating: 4+
- Requires: iOS 15.5 · 131 MB
- Languages: English
- Released: 2026-03-30
- Data updated: 2026-05-15
- User reviews in markdown: https://appshunter.io/ios/app/ndinga-app/id6758467495/reviews.md

## What is Ndinga App?

Karibu Ndinga App, 

1.Hii app inakuwezesha kusimamia gari yako Kitaalam na kidifitali kwa wakati mmoja ,  Simamia Mafuta , Services , Matumizi ya feddha, Mapato ya Gari zako , 

2.Pia unaweza kutrack gari yako kujua wapi ilipo wakati wowote kutumia GPS tutakayo kufungia kwenye gari yako

3.Pia Sehem ya Soko inakuweza kuuza/Kununua na kukodisha Gari kutoka kwa watu mbalimbali

4.Kwa watoa Huduma za Garage pia tunawapa fursa ya kujitangaza na Kusimamia Garage yako Kidigitali na kupitia Ndinga App unaweza kuwatumia wateja wako Ndinga Service Report kila baada ya Service- Ishi kidigitali

5.Manage Trip zako kidigitali zaidi

6.Module yetu ya Reminders itakukumbusha issue mbalimbali kama vile services, na vingine Vingi sana

7.Pia tuna kuwezesha kutoa access ya chombo chako kwa watu wako wa karibu na Mafundi wako kwenye Ndinga App


UNYAMA NI MWINGI SANA UKIWA NA NDINGA APP


## Version history (last 2 releases)

### 1.0.3 — 2026-04-03

Maboresho ya ramani

### 1.0 — 2026-03-31

No release notes.

## Related topics

[ndinga app](https://appshunter.io/ios/topics/ndinga-app)

---

*Data collected daily from the US App Store and indexed by [AppsHunter](https://appshunter.io/). User reviews are verbatim App Store reviews. Ratings, prices and chart positions refresh continuously; this snapshot is from 2026-05-15.*
