# SAMIA App — Fahari ya Watanzania

> Fahari ya Watanzania (iPhone/iPad app by TIMEOUT DIGITAL.)

- Source: https://appshunter.io/ios/app/samia-app/id6497486238 (this page in markdown: same URL + `.md`)
- Developer: [TIMEOUT DIGITAL](https://appshunter.io/developer/1539627118)
- Category: News, Entertainment
- Price: Free
- Age rating: 17+
- Requires: iOS 18.0 · 59 MB
- Languages: English
- Released: 2024-07-20
- Data updated: 2026-07-22
- User reviews in markdown: https://appshunter.io/ios/app/samia-app/id6497486238/reviews.md

## What is SAMIA App?

ni mfumo maalum unamsaidia mwananchi wa Tanzania pamoja na Waliopo nje ya Nchi kupata habari na matukio mbalimbali yanayohusu Nchi yake  pamoja na Rais wake wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia programu tumizi hii mwananchi atapata fursa ya kushiriki kwenye maudhui mbalimbali pamoja na matukio yanayoendelea kwenye taifa letu la Tanzania.

Aidha kupitia Samia App kuna Moduli mbalimbali  zikiwemo Habari na Matukio, Simulizi, Balozi wa Samia, Samia Jamii, Samia Room, Wasifu wa Samia, Makala, Maoni, Shiriki Kwenye Ilani, Kero ambapo kupitia Samia App mwananchi atakuwa na uwezo wa Kutuma na Kufatilia Kero yake kupitia Simu yake ya Kiganjani.

## Version history (last 5 releases)

### 1.1.8 — 2025-04-15

*Habari na Matukio mbalimbali kuhusu Maendeleo ya Tanzania
*Shiriki Kutoa maoni kwenye ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2030
*Shiriki Mashindano mbalimbali kwenye Balozi wa Samia kwa kusambaza na kulike taarifa za matukio ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan
*Mjue Samia kwa kusikiliza wasifu wake, ziara, Hotuba mbalimbali za matukio ya kila siku
*Kuwa wa kwanza kutuma taarifa za maendeleo kwenye eneo lako uoneshe namna serikali ya awamu ya Sita inavyoleta maendeleo kwa wananchi wake.

### 1.1.3 — 2025-01-24

### 1.1.2 — 2024-09-13

### 1.1.1 — 2024-07-30

### 1.1 — 2024-07-20

No release notes.

## Apps similar to SAMIA App

| App | Rating | Price | Category |
| --- | --- | --- | --- |
| [People Daily ePaper](https://appshunter.io/ios/app/people-daily-epaper/id1436476233) | 4.5 (2) | Free | News |
| [News Right Now](https://appshunter.io/ios/app/news-right-now/id1250280328) | 5.0 (7) | Free | News |
| [Logistics Update Africa](https://appshunter.io/ios/app/logistics-update-africa/id589736195) | — | Free | News |
| [Rifaly](https://appshunter.io/ios/app/rifaly/id1061068015) | — | Free | News |
| [The Standard Digital e-Paper](https://appshunter.io/ios/app/the-standard-digital-e-paper/id1384640649) | 3.0 (2) | Free | News |
| [Ekher El Akhbar](https://appshunter.io/ios/app/ekher-el-akhbar/id797601087) | — | Free | News |

## More apps by TIMEOUT DIGITAL

- [CCM_App](https://appshunter.io/ios/app/ccm-app/id1539627116)
- [MWINYI App](https://appshunter.io/ios/app/mwinyi-app/id6670269540)
- [Songwe Kiganjani](https://appshunter.io/ios/app/songwe-kiganjani/id6758524627)

All apps by TIMEOUT DIGITAL: https://appshunter.io/developer/1539627118

---

*Data collected daily from the US App Store and indexed by [AppsHunter](https://appshunter.io/). User reviews are verbatim App Store reviews. Ratings, prices and chart positions refresh continuously; this snapshot is from 2026-07-22.*