# Selpoa — All-in-one shop solution

> All-in-one shop solution (iPhone/iPad app by Christopher Shoo.)

- Source: https://appshunter.io/ios/app/selpoa/id6479444616 (this page in markdown: same URL + `.md`)
- Developer: [Christopher Shoo](https://appshunter.io/developer/1735968978)
- Category: Shopping, Utilities
- Price: Free
- Age rating: 4+
- Requires: iOS 13.0 · 20 MB
- Languages: English
- Released: 2024-03-20
- Data updated: 2026-05-15
- User reviews in markdown: https://appshunter.io/ios/app/selpoa/id6479444616/reviews.md

## What is Selpoa?

Biashara bila daftari huisha bila habari.

Selpoa ni bure, tunatamani uachane na kuendesha biashara yako kiholela, au kwa kutumia daftari ndio maana tumeamua kuwaletea app ya Selpoa, bure bila malipo yoyote. Lengo letu ni kukuondoa kwenye shida za kuchanganya rekodi zako kwenye daftari, kuchanganya mahesabu, kusahau madeni au kokosea dau la deni, na matatizo mengineyo kama hayo ambayo yanakuondoa kwenye dhumuni kuu la kuchakata akili, kufikiria namna ya kuongeza wateja.


Selpoa inakusaidia kufanya yafuatayo:-

1. Kurekodi mauzo, matumizi na madeni.
2. Kufatilia mwenendo wa bidhaa zako stoo, kufatilia mzigo unaoingia na mzigo unaotoka. (Stock taking)
3. Kukupa ripoti za mauzo, matumizi na madeni ndani ya siku, wiki, mwezi, mwaka au ndani ya idadi ya siku utakazo pendelea mwenyewe.
4. Kutengeneza risiti (SIO ZA TRA), na kutuma bili au deni kwa wateja wako.
5. Kurekodi mawasiliano ya wateja wako.
6. Kupokea malipo kwenye simu yako

Kuna mengineyo mengi yanaendelea kufanyiwa matengenezo kama:-
1. Kukusaidia kuendesha duka zaidi ya moja
2. Kukusaidia kuendesha wauzaji zaidi ya mmoja

Karibu, share na wafanya biashara wenzako ili tukue pamoja.


## Version history (last 4 releases)

### 1.3 — 2024-04-08

Tumeongeza vitu viwili vipya
  
  - Sasa unaweza ku record bili/oda kama imelipiwa wakati unauza, hakuna haja ya kwenda kurecord baada ya kutengeneza bili/oda
  - Sasa unaweza ku record expenses zako

### 1.2 — 2024-03-25

Tumeongeza vitu viwili vipya
  
  - Sasa unaweza ku record bili/oda kama imelipiwa wakati unauza, hakuna haja ya kwenda kurecord baada ya kutengeneza bili/oda
  - Sasa unaweza ku record expenses zako

Tume tatua pia matatizo mengine madogo madogo

### 1.1 — 2024-03-20

Tumetatua matatizo yafuatayo

- Tatizo linalo kuzuia kuweka idadi ya bidhaa endapo utachagua kubadilisha namna ya kuuza 
- Tumebadili rangi ya bili ambazo hazijalipiwa, isiumize macho

Karibu

### 1.0 — 2024-03-20

No release notes.

## Apps similar to Selpoa

| App | Rating | Price | Category |
| --- | --- | --- | --- |
| [noon Shopping, Food, Grocery](https://appshunter.io/ios/app/noon-shopping-food-grocery/id1269038866) | 4.5 (325,921) | Free | Shopping |
| [StyleKorean](https://appshunter.io/ios/app/stylekorean/id1529061060) | 2.7 (124) | Free | Shopping |
| [New Look Fashion Online](https://appshunter.io/ios/app/new-look-fashion-online/id466391488) | 4.7 (1,188) | Free | Shopping |
| [Women Clothing Fashion Shop](https://appshunter.io/ios/app/women-clothing-fashion-shop/id1448070401) | 4.5 (11) | Free | Shopping |
| [KiKUU: Online Shopping Mall](https://appshunter.io/ios/app/kikuu-online-shopping-mall/id1039419986) | 3.9 (808) | Free | Shopping |
| [size?](https://appshunter.io/ios/app/size/id736767882) | 4.7 (1,097) | Free | Shopping |

## Related topics

[guswe bropu](https://appshunter.io/ios/topics/guswe-bropu) · [1kula](https://appshunter.io/ios/topics/1kula) · [ajomoni](https://appshunter.io/ios/topics/ajomoni)

---

*Data collected daily from the US App Store and indexed by [AppsHunter](https://appshunter.io/). User reviews are verbatim App Store reviews. Ratings, prices and chart positions refresh continuously; this snapshot is from 2026-05-15.*
