Kuchukua muda mrefu kufunguka
Hakuna mlichoupdate, app inachukua muda mrefu kufunguka.
Haishawishi utumiaji
Haishawishi utumiaji
Kuchukua Muda Mrefu kufungua application
Application ya nbc kiganjani inachukua muda mrefu sana kufungua, Tunaomba mlirekebishe hili ili iwe rahisi ufikiaji wa huduma.