Shule Direct Kids

Shule Direct Kids

by Shule Direct

Free
Click to generate a QR code for easy access to the app on the App Store
Rating summary

About Shule Direct Kids

  • Released
  • Updated
  • iOS Version
  • Age Rating
  • Size
  • Devices
  • Languages

Features

Developer of Shule Direct Kids

Shule Direct Kids screenshot #1 for iPhone
Shule Direct Kids screenshot #2 for iPhone
Shule Direct Kids screenshot #3 for iPhone
iphone
ipad
🖼️Download
Icons↘︎
Shule Direct Kids ni app iliyobuniwa kwa ajili ya matumizi ya watoto wa shule za msingi nchini Tanzania. App inamsaidia mtoto wa darasa la kwanza hadi la saba, kujifunza na kuongeza umahiri wa kusoma, kuandika na kuhesabu kwa kutumia michezo iliyotengenezwa kutokana na mtaala na muongozo wa elimu ya msingi nchini Tanzania. Mzazi tumia App hii kupata taarifa ya maendeleo ya mtoto wako pia kumsaidia kuyamudu zaidi masomo yake au yale maeneo yanayompa changamoto. App hii pia inakusaidia mzazi kufahamu mambo yote anayotakiwa kujifunza mtoto wako pindi awapo shuleni. FAIDA ZA SHULE DIRECT KIDS - Kupenda kujifunza - Kujifunza kwa Uhuru, Muda Wowote, Mahali Popote - Nyenzo zinazofuata mtaala wa Taifa wa Elimu ya Msingi darasa la 1 - 7 - Kujifunza matumizi sahihi na salama ya teknolojia na mifumo yake - Kumfanya mtoto kuwa mbunifu zaidi - Kuweka kumbukumbu na taarifa zote za mtoto, kumsaidia mzazi kupata ripoti kwa haraka na kufuatilia kwa karibu - Kuongeza ufaulu Pakua Shule Direct Kids App sasa BURE! KUHUSU SHULE DIRECT Shule Direct ni shirika lisilo la kiserikali nchini Tanzania lililojikita kwenye matumizi ya teknolojia na mifumo yake katika kuongeza wigo na fursa za upatikanaji wa nyenzo bora za kujifunzia kwa wanafunzi na walimu wa shule za msingi na sekondari ili kuongeza ufaulu na matokeo chanya ya elimu. Tunafanya kazi na walimu bora wanaokidhi vigezo vya ufundishaji, kutengeneza nyenzo za kujifunzia katika mifumo ya notes, chemsha bongo, mafumbo na michezo mbalimbali kwa kufuata mitaala na miongozo ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa elimu ya msingi na sekondari. Nyenzo zetu zinapatikana kwa njia mbalimbali zikiwemo application za simu, mtandao wa www.shuledirect.co.tz mfumo wa offline Learning Management System (LMS) pamoja na njia ya ujumbe mfupi wa maandishi (SMS). WASILIANA NASI Kama una swali, maoni, ushauri, au unahitaji msaada au taaria zaidi, wasiliana nasi kupitia info@shuledirect.org Tushirikiane kwa mafanikio ya mtoto wa Tanzania.
Show less

What's New in Shule Direct Kids

6.7

April 18, 2023

Now you can Enjoy more Games and Videos from our application.

Alternatives to Shule Direct Kids

More Applications by Shule Direct

FAQ

Does Shule Direct Kids support iPad devices?

Yes, Shule Direct Kids can be used on iPad devices.

Who created the Shule Direct Kids app?

Shule Direct is the developer of the app.

What minimum version of iOS does Shule Direct Kids need?

The minimum iOS version for the Shule Direct Kids app is 12.0.

What do users think of the Shule Direct Kids app?

No ratings are available for the Shule Direct Kids app yet.

What category of app is Shule Direct Kids?

The Shule Direct Kids App Relates To The Education Genre.

What Shule Direct Kids application version is the latest one?

6.7 is the most recent version of Shule Direct Kids.

What is the latest Shule Direct Kids update release date?

December 12, 2024 is the exact date of the latest Shule Direct Kids update.

What is the exact date when Shule Direct Kids came out?

The Shule Direct Kids app became available to the public on February 5, 2023.

What age is Shule Direct Kids suitable for?

Shule Direct: The Shule Direct Kids app is child-friendly.

What are the languages offered by the Shule Direct Kids app?

Shule Direct Kids can be used in .

Can I enjoy Shule Direct Kids by subscribing to Apple Arcade?

Sorry, Shule Direct Kids is not on Apple Arcade.

Can I find in-app purchases in Shule Direct Kids?

Sorry, in-app purchases are not available for users of Shule Direct Kids.

Is Shule Direct Kids specifically engineered for Apple Vision Pro compatibility?

Sorry, Shule Direct Kids is not specifically engineered for compatibility with Apple Vision Pro.

Are users exposed to ads in Shule Direct Kids?

No, users are not exposed to ads in Shule Direct Kids.