FabiEvents

FabiEvents

Your Event Solutions

0 ratings
Free

Rating summary

Details

  • Released
  • Updated
  • October 21, 2024
  • March 28, 2026

Features

FabiEvents screenshot #1 for iPhone
FabiEvents screenshot #2 for iPhone
FabiEvents screenshot #3 for iPhone
FabiEvents screenshot #4 for iPhone
FabiEvents screenshot #5 for iPhone
iphone
ipad
🖼️Get Icon
Icons↘︎

About

Fabievents ni suluhisho ya mandalizi ya sherehe zote Tanzania Kama wewe ni Bwana harusi au Bibi harusi mtarajiwa zijue mbinu. • Kama unatarajia kuchangisha kwenye harusi yako hakikisha unachangia harusi za wengine pia, na hata kuwa kwenye kamati ya mandalizi, inapofika zamu yako kufanya harusi tayali unakuwa na ile network ya watu kadhaa. Ukifanya hivyo Zaidi ya mara moja inakupa wigo mkubwa wa kuwa na network nzuri tena ya wachangiaji wa sherehe, Kujichanganya na matukio ya kijamii pia ni njia nzuri yakuzidi kupata marafiki wa faida, ikiwemo hata kumtembelea ndugu/rafiki ambaye anaumwa.
Show more

What's New in FabiEvents

1.7.0

March 28, 2026

Improved Budget Report