
Fuga Poultry App
Fuga
About
What's New in Fuga Poultry App
2.3.2
November 15, 2026
What's new in Fuga 2.3.2 • Switch flocks right from the Feed, Mortality, Sales and Vaccines screens • Fixed: older sales showing as empty grey bars after adding a new sale • Fixed: the language you pick before signing in is now kept after you sign in • Update reminders now appear only when a newer version is available • Faster fixes: we now get notified when something goes wrong in the app Mapya katika Fuga 2.3.2 • Badilisha kundi moja kwa moja kwenye skrini za Chakula, Vifo, Mauzo na Chanjo • Imerekebishwa: mauzo ya zamani yaliyoonekana kama vibao vitupu baada ya kuongeza mauzo mapya • Imerekebishwa: lugha uliyochagua kabla ya kuingia sasa inabaki baada ya kuingia • Ujumbe wa kusasisha programu sasa unaonekana tu kukiwa na toleo jipya • Tunapata taarifa hitilafu inapotokea, ili tuirekebishe haraka
More





