Masifu ya Kanisa

Masifu ya Kanisa

by MAGIGE CHARLES WESALILO

0 ratings
Free

Rating summary

Details

  • Released
  • Updated
  • March 28, 2026
  • July 9, 2026

Features

Masifu ya Kanisa screenshot #1 for iPhone
Masifu ya Kanisa screenshot #2 for iPhone
Masifu ya Kanisa screenshot #3 for iPhone
Masifu ya Kanisa screenshot #4 for iPhone
Masifu ya Kanisa screenshot #5 for iPhone
Masifu ya Kanisa screenshot #6 for iPhone
iphone
ipad
🖼️Get Icon
Icons↘︎

About

Masifu ni programu ya Liturujia ya Vipindi (Liturgy of the Hours) iliyoundwa maalum kwa lugha ya Kiswahili na Mashirika ya Klareti (Claretian International). Programu hii inakusaidia kusali sala rasmi za Kanisa Katoliki kila siku — asubuhi, mchana, na jioni — popote ulipo, hata bila mtandao. SALA ZA KILA SIKU Sala za Liturujia zimepangwa kwa mujibu wa kalenda ya liturujia — Zaburi, Antifonari, Usomaji Mfupi, na Maombi ya Mwisho — kwa nyakati zote tatu za siku. WATAKATIFU WA SIKU Tazama mtakatifu anayekumbukwa leo pamoja na maelezo ya maisha yake. Angalia video za YouTube kuhusu watakatifu moja kwa moja ndani ya programu. MISA TAKATIFU Fuata Misa Takatifu kamili kwa lugha ya Kiswahili, ikiwemo Ibada ya Siku ya Bwana Bila Padre, iliyoandaliwa kwa uangalifu. SALA ZINGINE • Rozari Takatifu • Litania za Watakatifu • Njia ya Msalaba (Via Crucis) • Sala za Kila Siku — Sala za Asubuhi, Jioni, Chakula, na zaidi • Sala kwa Mt. Antoni Maria Klareti SOMA AU SIKILIZA Kila sala inaweza kusomwa kwenye skrini au kusikilizwa kwa sauti (Text-to-Speech) kwa Kiswahili. Badilisha ukubwa wa maandishi kulingana na upendeleo wako. MANDHARI MBILI Chagua kati ya mandhari ya giza (usiku) au mwanga (mchana) inayobadilika kulingana na wakati wa siku, au weka wewe mwenyewe. INAFANYA KAZI BILA MTANDAO Maudhui yote ya sala na liturujia yanapatikana bila mtandao baada ya ku download programu. Sala zitapatikana ata unaposali mahali pasipo na mtandao. KALENDA YA LITURUJIA Programu inafuata kalenda kamili ya liturujia ya Kanisa Katoliki — Majilio, Noeli, Kwaresma, Pasaka, na Wakati wa Kawaida — na kubadilisha rangi za liturujia ipasavyo. --- Masifu imeundwa na Mashirika ya Klareti Tanzania kwa ajili ya Wakristo wanaotaka Inafaa kwa makasisi, watawa, waamini wa awali, vijana, na familia nzima. Pakua Masifu leo na uanze siku yako na sala.
Show more

What's New in Masifu ya Kanisa

1.3.2

July 9, 2026

Added breviary saints contents from August to Decembe, , added missing SALA sections

Developer apps