Ndinga App

Ndinga App

Ndinga App

0 ratings
Free

Rating summary

Details

  • Released
  • Updated
  • March 30, 2026
  • April 3, 2026

Features

Ndinga App screenshot #1 for iPhone
Ndinga App screenshot #2 for iPhone
iphone
ipad
🖼️Get Icon
Icons↘︎

About

Karibu Ndinga App, 1.Hii app inakuwezesha kusimamia gari yako Kitaalam na kidifitali kwa wakati mmoja , Simamia Mafuta , Services , Matumizi ya feddha, Mapato ya Gari zako , 2.Pia unaweza kutrack gari yako kujua wapi ilipo wakati wowote kutumia GPS tutakayo kufungia kwenye gari yako 3.Pia Sehem ya Soko inakuweza kuuza/Kununua na kukodisha Gari kutoka kwa watu mbalimbali 4.Kwa watoa Huduma za Garage pia tunawapa fursa ya kujitangaza na Kusimamia Garage yako Kidigitali na kupitia Ndinga App unaweza kuwatumia wateja wako Ndinga Service Report kila baada ya Service- Ishi kidigitali 5.Manage Trip zako kidigitali zaidi 6.Module yetu ya Reminders itakukumbusha issue mbalimbali kama vile services, na vingine Vingi sana 7.Pia tuna kuwezesha kutoa access ya chombo chako kwa watu wako wa karibu na Mafundi wako kwenye Ndinga App UNYAMA NI MWINGI SANA UKIWA NA NDINGA APP
Show more

What's New in Ndinga App

1.0.3

April 3, 2026

Maboresho ya ramani