
Njia
Kugundua Mungu pamoja
0 ratings
Free
About
Je, umewahi kusoma simuliza ya Mwenyezi Mungu kwenye Torat, Zabur, na Injil? App hii itakupa fursa ya kusoma maandiko matakatifu pamoja na kikundi chako. Baada ya kusoma kila stori utaulizwa maswahili muhimu ili utaweza kuzunguma vizuri kuhusu maandiko yale. Mwenyezi Mungu, tuonyeshe njia!
Show more
What's New in Njia
1.7.0
April 21, 2026
Tumeboresha programu kwa muundo safi na rahisi kutumia na kuongeza njia mpya za kunasa mawazo yako, ikiwa ni pamoja na maelezo ya sauti. Sasisho hili pia linajumuisha maboresho ya utendaji kwa ajili ya matumizi bora na ya kuaminika zaidi.
More




