Nyimbo Za Kristo

Nyimbo Za Kristo

by Justin Bulenga

0 ratings

Archived App (Last seen on 21 Jun 2026)

This is an archived listing of the app previously available on the App Store.

Although the app is no longer distributed by Apple, you can still view its description, screenshots, version history, ratings, and metadata for reference.
Rating summary

Details

  • Released
  • Updated

Features

Nyimbo Za Kristo screenshot #1 for iPhone
Nyimbo Za Kristo screenshot #2 for iPhone
Nyimbo Za Kristo screenshot #3 for iPhone
Nyimbo Za Kristo screenshot #4 for iPhone
Nyimbo Za Kristo screenshot #5 for iPhone
Nyimbo Za Kristo screenshot #6 for iPhone
Nyimbo Za Kristo screenshot #7 for iPhone
Nyimbo Za Kristo screenshot #8 for iPhone
iphone
ipad
watch
🖼️Get Icon
Icons↘︎

About

Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 za kitabu kidogo na 405 za kitabu kikubwa za kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili. Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni. Sifa za program ni kama zifuatazo:- • Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno yaliyo ndani ya wimbo. • Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa. • Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi. • Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for the accompaniments). • Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu na kuongeza au kupunguza kasi ya uchezaji. • Inakuwezesha kutafuta wimbo kwa haraka kwa kutumia namba. • Inakuwezesha kuona wimbo wa mwisho kutazamwa katika orodha kwa kuuangazia rangi. • Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa umefungua wimbo tofauti na huo. • Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho. Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga.
Show more

What's New in Nyimbo Za Kristo

4.4

October 8, 2025

-Imebadili muonekano kwa watumiaji wa iOS 26

Developer apps