SAMIA App

SAMIA App

Fahari ya Watanzania

0 ratings
Free

Rating summary

Details

  • Released
  • Updated
  • July 20, 2024
  • April 15, 2025

Features

SAMIA App screenshot #1 for iPhone
SAMIA App screenshot #2 for iPhone
SAMIA App screenshot #3 for iPhone
SAMIA App screenshot #4 for iPhone
SAMIA App screenshot #5 for iPhone
SAMIA App screenshot #6 for iPhone
SAMIA App screenshot #7 for iPhone
SAMIA App screenshot #8 for iPhone
iphone
ipad
🖼️Get Icon
Icons↘︎

About

ni mfumo maalum unamsaidia mwananchi wa Tanzania pamoja na Waliopo nje ya Nchi kupata habari na matukio mbalimbali yanayohusu Nchi yake pamoja na Rais wake wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia programu tumizi hii mwananchi atapata fursa ya kushiriki kwenye maudhui mbalimbali pamoja na matukio yanayoendelea kwenye taifa letu la Tanzania. Aidha kupitia Samia App kuna Moduli mbalimbali zikiwemo Habari na Matukio, Simulizi, Balozi wa Samia, Samia Jamii, Samia Room, Wasifu wa Samia, Makala, Maoni, Shiriki Kwenye Ilani, Kero ambapo kupitia Samia App mwananchi atakuwa na uwezo wa Kutuma na Kufatilia Kero yake kupitia Simu yake ya Kiganjani.
Show more

What's New in SAMIA App

1.1.8

April 15, 2025

*Habari na Matukio mbalimbali kuhusu Maendeleo ya Tanzania *Shiriki Kutoa maoni kwenye ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2030 *Shiriki Mashindano mbalimbali kwenye Balozi wa Samia kwa kusambaza na kulike taarifa za matukio ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan *Mjue Samia kwa kusikiliza wasifu wake, ziara, Hotuba mbalimbali za matukio ya kila siku *Kuwa wa kwanza kutuma taarifa za maendeleo kwenye eneo lako uoneshe namna serikali ya awamu ya Sita inavyoleta maendeleo kwa wananchi wake.

More

Developer apps