Selpoa

Selpoa

All-in-one shop solution

0 ratings
Free

Rating summary

Details

  • Released
  • Updated
  • March 20, 2024
  • April 8, 2024

Features

Selpoa screenshot #1 for iPhone
Selpoa screenshot #2 for iPhone
Selpoa screenshot #3 for iPhone
Selpoa screenshot #4 for iPhone
Selpoa screenshot #5 for iPhone
Selpoa screenshot #6 for iPhone
🖼️Get Icon
Icons↘︎

About

Biashara bila daftari huisha bila habari. Selpoa ni bure, tunatamani uachane na kuendesha biashara yako kiholela, au kwa kutumia daftari ndio maana tumeamua kuwaletea app ya Selpoa, bure bila malipo yoyote. Lengo letu ni kukuondoa kwenye shida za kuchanganya rekodi zako kwenye daftari, kuchanganya mahesabu, kusahau madeni au kokosea dau la deni, na matatizo mengineyo kama hayo ambayo yanakuondoa kwenye dhumuni kuu la kuchakata akili, kufikiria namna ya kuongeza wateja. Selpoa inakusaidia kufanya yafuatayo:- 1. Kurekodi mauzo, matumizi na madeni. 2. Kufatilia mwenendo wa bidhaa zako stoo, kufatilia mzigo unaoingia na mzigo unaotoka. (Stock taking) 3. Kukupa ripoti za mauzo, matumizi na madeni ndani ya siku, wiki, mwezi, mwaka au ndani ya idadi ya siku utakazo pendelea mwenyewe. 4. Kutengeneza risiti (SIO ZA TRA), na kutuma bili au deni kwa wateja wako. 5. Kurekodi mawasiliano ya wateja wako. 6. Kupokea malipo kwenye simu yako Kuna mengineyo mengi yanaendelea kufanyiwa matengenezo kama:- 1. Kukusaidia kuendesha duka zaidi ya moja 2. Kukusaidia kuendesha wauzaji zaidi ya mmoja Karibu, share na wafanya biashara wenzako ili tukue pamoja.
Show more

What's New in Selpoa

1.3

April 8, 2024

Tumeongeza vitu viwili vipya - Sasa unaweza ku record bili/oda kama imelipiwa wakati unauza, hakuna haja ya kwenda kurecord baada ya kutengeneza bili/oda - Sasa unaweza ku record expenses zako

More