
TarbiyaApp
App Kwaajili ya Malezi
0 ratings
Free
About
Tarbiya ni app ya kielimu inayolenga malezi, maarifa ya dini, na maendeleo binafsi.
Imeundwa kuwasaidia watoto, vijana na watu wazima kujifunza kwa njia rahisi, ya kisasa na inayoaminika.
Mafunzo bora, Maudhui yenye thamani, Rahisi kutumia, Tarbiya – Jifunze kwa Maarifa, Kua kwa Maadili.
Show more
What's New in TarbiyaApp
2.1
February 26, 2026
Scrolling feature in home page







