
About
What's New in Twende
4.0
September 5, 2026
USAFIRI Piga boda, bajaji au gari moja kwa moja kwenye app. Unaweza kutaja unapokwenda hata wakati gari bado linakutafuta. Skrini ya kusubiri sasa inaonesha muda uliopita na njia ya kughairi, na safari ikiisha unaona ramani ya njia iliyopita. MAJI Agiza maji kwa bowser ukitaja lita na bei unayotaka. Oda kubwa kuliko bowser moja inagawanywa na kuoneshwa kama safari zaidi ya moja, ili ujue kila gari linaleta kiasi gani. Sasa unaweza kulipa papo hapo kutoka kwenye mkoba wako. MIZIGO Waybill inapatikana kwenye simu yako na unaweza kuishiriki kama karatasi yenyewe. Safari moja ya eGuta sasa inaweza kuchukua mizigo ya maduka kadhaa. MALIPO Njia ya kulipa inaendana na huduma husika, na taslimu haioneshwi pale ambapo haikubaliki. Tigo Pesa sasa inaitwa Mixx by Yas. Pamoja na marekebisho ya kasi na uthabiti.
More




