Taifa Gas vs NJIIMNET
Price, ratings, monetisation and update history for both apps, side by side โ with what reviewers say about each.
Taifa Gas
Read full descriptionHide full description
With this application customers can order products for delivery and setup "Wekeza" plans which will allow them to slowly save funds for our products. Kwa kutumia app hii, wateja wa bidhaa zetu wanaweza kuagiza bidhaa ziwafikie walipo na kuwekeza kidogo kidogo kwa ajili ya manunuzi ya bidhaa za Taifagas.
NJIIMNET
Read full descriptionHide full description
Kwa miaka mingi, kununua au kuuza gari kumekuwa na changamoto. Bei zisizo wazi, ada zisizotarajiwa, na maamuzi makubwa bila taarifa kamili. Tumekutengenezea njia rahisi zaidi. Kama unataka kununua au kuagiza gari, NJIIMNET inakusaidia ku-: - Jua bei halisi ya gari kuendana na mwenendo wa soko - Nunua kwa bei ya haki - Okoa muda & nguvu - Pokea ofa nyingi kutoka kwa wauzaji - Linganisha bei kirahisi - Kwepa kulipa zaidi Kama muuzaji, NJIIMNET inakusaidia ku-: - Pata wateja wenye uhitaji - Uza bila kufanya matangazo - Fikia mteja sahihi katika muda muafaka - Jua bajeti ya wateja kabla hata hujaongea nao - Pata wateja bure - Chagua ulipe kamisheni au la - Lipia kamisheni utakapouza gari tu - Uza haraka zaidi - Pata taarifa za muhimu za wateja kabla ya kulipia chochote NJIIMNET unganisha moja kwa moja na wanunuzi na wauzaji wa magari, huku ikihakikisha uwazi na kurahisisha mchakato mzima.
Screenshots
Verdict
The clearest difference is iOS requirement: Taifa Gas at 12.0 against NJIIMNET's 15. On price, ads, in-app purchases and device support there is nothing between them.
Scored on Price ยท Rating ยท Positive reviews ยท Number of ratings ยท Update frequency ยท Ads ยท In-app purchases ยท Monetization ยท Best chart rank ยท Devices ยท Requires iOS
Both are free to download. Neither carries in-app purchases, so what you see is what you pay.
| Parameter | Taifa Gas | NJIIMNET |
|---|---|---|
| Price | Free | Free |
| Update frequency | โ | Every 6 days |
| Ads | No | No |
| In-app purchases | No | No |
| Devices | iPhone, iPad, iPod โ better | iPhone, iPod |
| Requires iOS | 12.0 โ better | 15 |
| Further details โ not scored | ||
| Size | 20 MB | 54 MB |
| Age rating | 4+ | 4+ |
| Developer | Code Dreamers Limited | Olorok Enterprises Limited |
In-app purchases
Taifa Gas
No in-app purchases
NJIIMNET
No in-app purchases








