CCM_App User Reviews

Top reviews

Huduma ya kujisajili

Huduma ya kujisajili kwa wale tunaotaka kujiunga na chama tukiwa nje ya nchi kupitia ccm app haipo supportive no ya simu inayohitajika kujiunga ni lazima ya TZ , inahitaji maboresho kwenye usajili wa wanachama wapya wa diaspora

Logging in problem

Ckuweza ku log in
Hata hakuna maelezo au number ya customer service wa kuuuliza vizuri

Alternatives to CCM_App