Tenzi Za Rohoni

Tenzi Za Rohoni

$2.99
Buy now

Details about Tenzi Za Rohoni

  • Released
  • Updated
  • iOS Version
  • Age Rating
  • Size
  • Devices
  • Languages

Features

Developer of Tenzi Za Rohoni

🙌2
Ratings
🗣❌ unsupported
Your locale

Version History of Tenzi Za Rohoni

3.0

May 17, 2024

-Imebadili muonekano

2.9

May 15, 2024

-Imeboresha muonekano -Imetatua changamoto ya menu bar kuingiliana na orodha kwa iPhone 14

2.8

July 6, 2023

-Imeboresha muonekano -Imeongeza kubadili lugha ya programu kuwa kiingereza

2.7

July 6, 2023

-Badili lugha kiingereza/kiswahili . -Buruza kulia au kushoto kuondoa wimbo pendwa, kwenye orodha ya nyimbo zote.

2.6

July 2, 2023

-Imeboresha muonekano

2.5

July 1, 2023

-Imeboresha muonekano

2.4

June 28, 2023

-Imebadili muonekano

2.3

June 26, 2023

-Imebadili muonekano.

2.2

May 5, 2023

Imeongeza kurasa ya nyimbo pendwa kwenye iWatch.

2.1

April 20, 2023

Imeongeza program ya Tenzi Za Rohoni kwenye Apple Watch (iWatch).

Price History of Tenzi Za Rohoni

Description of Tenzi Za Rohoni

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili. Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote. Sifa za program ni kama zifuatazo:- • Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno yaliyo ndani ya wimbo. • Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa. • Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for the accompaniments). • Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu • Inakuwezesha kuona wimbo namba unaocheza ala pindi uwapo kwenye nyimbo nyingine. • Inakuwezesha kufahamu wimbo wa mwisho kutazamwa kwa kuuangazia rangi kwenye orodha. • Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho. Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga kwa utukufu wa Mungu.
Show less

Tenzi Za Rohoni: FAQ

Is Tenzi Za Rohoni iPad-friendly?

Yes, the Tenzi Za Rohoni app is compatible with iPads.

Who developed the Tenzi Za Rohoni app?

The Tenzi Za Rohoni app was built by Justin Bulenga.

What is the minimum iOS version needed for Tenzi Za Rohoni to work?

Tenzi Za Rohoni minimum iOS requirement is iOS 15.2.

What user rating does the app have?

Tenzi Za Rohoni has an exceptional rating of 5 out of 5, which is a testament to its quality.

What is the main genre of the Tenzi Za Rohoni app?

Reference Is The Primary Genre Of The Tenzi Za Rohoni App.

What’s the latest version of the Tenzi Za Rohoni app?

The latest version of Tenzi Za Rohoni is 3.0.

What date was the latest Tenzi Za Rohoni update released?

Tenzi Za Rohoni’s most recent update was on September 19, 2024.

What is the exact date the Tenzi Za Rohoni app came out?

The app first launched on February 6, 2023.

What age rating is assigned to Tenzi Za Rohoni?

Safe for children to use, no mature themes or inappropriate content.

Which languages does Tenzi Za Rohoni support?

Tenzi Za Rohoni currently features the following languages: English, Swahili.

Does Tenzi Za Rohoni belong to Apple Arcade's curated library?

Unfortunately, Tenzi Za Rohoni is not on Apple Arcade.

Are in-app purchases part of Tenzi Za Rohoni?

Unfortunately, in-app purchases are not part of Tenzi Za Rohoni.

Is Tenzi Za Rohoni tailored for Apple Vision Pro compatibility?

Unfortunately, Tenzi Za Rohoni is not tailored for compatibility with Apple Vision Pro.

Can I expect ads while using Tenzi Za Rohoni?

No, you can not expect ads while using Tenzi Za Rohoni.

Screenshots of Tenzi Za Rohoni

iphone
ipad
watch

Alternatives to Tenzi Za Rohoni

Charts
Top Paid

📉 93-14

Reference

This app dropped -14 positions in Reference chart.

Last updated on September 19, 2024.

More Applications by Justin Bulenga

Reviews of Tenzi Za Rohoni

  • Great Inspirational App

    I was looking for Tenzi za Rohoni app and this has been a blessing. It also has instrumental (piano) for most songs which is amazing. I started using this for our worship sessions since it is still a young ministry and we don’t have anyone who could play an instrument. Great work! I hope it will continue to develop and all songs with instrumental