Nyimbo Za Kristo

Nyimbo Za Kristo

$2.99
Buy now
Rating summary

Details about Nyimbo Za Kristo

  • Released
  • Updated
  • iOS Version
  • Age Rating
  • Size
  • Devices
  • Languages

Features

Developer of Nyimbo Za Kristo

🙌0
Ratings
🗣❌ unsupported
Your locale

Version History of Nyimbo Za Kristo

2.9

May 17, 2024

-Imebadili muonekano

2.8

May 15, 2024

-Imebadili muonekano. -Imetatua changamoto ya menu bar kuingiliana na orodha ya nyimbo.

2.7

July 7, 2023

-Imebadili muonekano -Imeongeza uchaguzi wa kubadili lugha ya programu kwenda kiingereza

2.6

July 6, 2023

-Badili lugha kwenda kiingereza. -buruza wimbo kulia/kushoto kuongeza/kuondoa kutoka orodha pendwa.

2.5

July 3, 2023

-Imeboresha muonekano

2.3

June 28, 2023

-Imebadili muonekano

2.2

June 26, 2023

-Imebadili muonekano

2.1

May 6, 2023

Imeongeza kurasa ya nyimbo pendwa kwenye iWatch.

2.0

April 24, 2023

Imeongeza program ya Nyimbo Za Kristo kwenye Apple Watch (iWatch).

1.7

May 19, 2022

Improved iPad experience.

Price History of Nyimbo Za Kristo

Description of Nyimbo Za Kristo

Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili. Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni. Sifa za program ni kama zifuatazo:- • Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno yaliyo ndani ya wimbo. • Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa. • Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi. • Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for the accompaniments). • Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu na kuongeza au kupunguza kasi ya uchezaji. • Inakuwezesha kutafuta wimbo kwa haraka kwa kutumia namba. • Inakuwezesha kuona wimbo wa mwisho kutazamwa katika orodha kwa kuuangazia rangi. • Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa umefungua wimbo tofauti na huo. • Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho. Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga.
Show less

Nyimbo Za Kristo: FAQ

Can Nyimbo Za Kristo support iPad devices?

Yes, Nyimbo Za Kristo can be used on an iPad.

Who developed the app?

Justin Bulenga is the developer of the Nyimbo Za Kristo app.

What should be the minimum iOS version for Nyimbo Za Kristo?

To function properly, the app requires at least iOS 15.2.

How do users rate Nyimbo Za Kristo?

Nyimbo Za Kristo has no ratings yet.

What is the primary genre of the Nyimbo Za Kristo app?

The Primary Genre Of The Nyimbo Za Kristo App Is Reference.

What is the current version of Nyimbo Za Kristo?

2.9 is the latest released Nyimbo Za Kristo version.

What is the date of the most recent Nyimbo Za Kristo update?

The most recent update for Nyimbo Za Kristo was released on September 19, 2024.

What is the specific date when the app came out?

The release date of the app was on November 13, 2023.

What is the content advisory rating for Nyimbo Za Kristo?

Suitable for children aged 4 and up, contains no objectionable material.

What languages does Nyimbo Za Kristo support?

You can use the Nyimbo Za Kristo app in English, Swahili.

Does Nyimbo Za Kristo belong to Apple Arcade's curated library?

Unfortunately, Nyimbo Za Kristo is not on Apple Arcade.

Are in-app purchases part of Nyimbo Za Kristo?

Unfortunately, in-app purchases are not part of Nyimbo Za Kristo.

Does Nyimbo Za Kristo support Apple Vision Pro compatibility?

No, Nyimbo Za Kristo does not support compatibility with Apple Vision Pro.

Are there commercial ads in Nyimbo Za Kristo?

No, there are no commercial ads in Nyimbo Za Kristo.

Screenshots of Nyimbo Za Kristo

iphone
ipad
watch

Alternatives to Nyimbo Za Kristo

More Applications by Justin Bulenga