Dukani - Simamia biashara yako

Dukani - Simamia biashara yako

Biashara yako, mikononi mwako

0 ratings
Free

Rating summary

Details

  • Released
  • Updated
  • May 3, 2026
  • August 18, 2026

Features

Dukani - Simamia biashara yako screenshot #1 for iPhone
Dukani - Simamia biashara yako screenshot #2 for iPhone
Dukani - Simamia biashara yako screenshot #3 for iPhone
Dukani - Simamia biashara yako screenshot #4 for iPhone
Dukani - Simamia biashara yako screenshot #5 for iPhone
Dukani - Simamia biashara yako screenshot #6 for iPhone
Dukani - Simamia biashara yako screenshot #7 for iPhone
Dukani - Simamia biashara yako screenshot #8 for iPhone
iphone
ipad
🖼️Get Icon
Icons↘︎

About

Dukani — Simamia biashara yako kwa uelewa zaidi Dukani ni programu rahisi na salama ya kusimamia biashara, iliyoundwa kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo na wa kati Tanzania. Iwe una duka la rejareja, grocery, kiosk, minimarket, jumla au biashara nyingine, Dukani inakusaidia kurekodi na kufuatilia shughuli muhimu za biashara yako kwa urahisi. Jua mauzo yako, fuatilia bidhaa zako, simamia madeni na gharama, na pata picha nzuri ya biashara yako — hata ukiwa huna intaneti. SIMAMIA BIASHARA YAKO Dukani inakusaidia: • Kurekodi mauzo kwa haraka • Kufuatilia bidhaa na stock • Kurekodi manunuzi na kuongeza stock • Kufuatilia wateja na wauzaji • Kusimamia mauzo ya mkopo na madeni • Kurekodi gharama za biashara • Kufuatilia bei ya kununua na kuuza • Kuona taarifa na ripoti za biashara yako Fuatilia STOCK kwa urahisi Jua bidhaa ulizonazo na jinsi stock yako inavyobadilika kutokana na mauzo, manunuzi na marekebisho. Dukani pia inakusaidia kutumia vipimo tofauti kama: - Kipande - Box - Dozen - Kg - Lita na vipimo vingine kulingana na biashara yako. ELEWA MAUZO NA FAIDA YAKO Usiishie kujua umeuza kiasi gani. Dukani hukusaidia kupata picha ya biashara yako kwa kutumia taarifa za mauzo, gharama na bidhaa zako. Jua biashara yako vizuri zaidi na fanya maamuzi ukiwa na taarifa sahihi. BIASHARA YENYE WAFANYAKAZI? - Dukani inaweza kusaidia biashara yenye wafanyakazi kusimamia shughuli za kila siku huku mmiliki akiwa na uelewa wa kinachoendelea kwenye biashara. - Mmiliki anaweza kufuatilia shughuli za biashara bila kutegemea taarifa za maneno pekee. INAFANYA KAZI HATA BILA INTANETI - Huna internet muda wote? Hakuna tatizo. - Dukani imeundwa kufanya kazi hata wakati hakuna muunganisho wa internet. Unaweza kuendelea kurekodi mauzo na kusimamia taarifa za biashara yako. - Internet inapopatikana, taarifa husawazishwa na mfumo kulingana na utaratibu wa Dukani. TAARIFA ZA BIASHARA YAKO - Taarifa za biashara yako huhifadhiwa kwenye kifaa chako na kusawazishwa na mfumo unapopatikana mtandao. - Hii inakusaidia kuendelea kufanya kazi hata maeneo yenye internet hafifu au isiyotabirika. IMETENGENEZWA KWA MAHITAJI YA BIASHARA ZA TANZANIA Dukani imejengwa kwa kuzingatia mazingira halisi ya biashara — kuanzia maduka madogo hadi biashara zinazokua. Lengo ni moja: Kukusaidia kuelewa biashara yako, kuisimamia vizuri na kufanya maamuzi bora. ANZA LEO Pakua Dukani, ongeza bidhaa zako na anza kurekodi biashara yako. Dukani — Biashara yako, mikononi mwako.
Show more
+1

What's New in Dukani

3.0.2

August 18, 2026

- Kujiunga na duka: Omba mwenzako akuongeze — utaongezwa kiotomatiki - Nambari ya OTP inajazwa yenyewe unapopokea SMS - Kubonyeza mahali popote kufunga kibodi kiotomatiki - Mwonekano wa giza (dark mode) umeimarishwa kwenye maswali yote - Mfumo wa kusawazisha data umeboreshwa — unafanya kazi haraka zaidi - Hitilafu ndogo ndogo zimetatuliwa

More

Developer apps