
Kappu - Manage Financial Group
Manage Financial Group
0 ratings
Free
With Ads
About
Kappu App inarahisisha usimamizi na uratibu wa vikundi kama vile VICOBA, SACCOs, vikundi vya wahitimu, familia n.k Omba mkopo, fuatilia akiba, na simamia miongozo ya kikundi kirahisi moja kwa moja kutoka kwenye simu yako. Wezesha kikundi chako na kuendeleza mtandao wako kwa kutumia Kappu leo!
Show more
What's New in Kappu
3.0.0
July 10, 2025
Improve loan management flow and privacy in displaying amounts





