NMB Soft Token User Reviews

Top reviews

Kufunguka

Kwenye Iphone yangu najaribu kufungua inagoma yan iko blank tu nyeupe all the time. Sijajua kisa nipo nje ya nchi au tatizo la kiufundi. Nmejaribu mara kadhaa nmeshindwa kabisaa!!!