IT SUCKS!!
Ever since I updated it I can no longer use it. I can't type in the OTP I receive. Kifuatacho ni line kufungiwa tu kwa sababu siwezi tena kutumia App yenu nikiwa nje ya Tanzania coz for 2 years nimekuwa nikitumia hii app to keep my line alive, now I'm logged out of the app and I can't log back in. Kwaherini!!
Show more
MixxByYas
The best in town wenginee wanaigaa tuu😂
TDR SiSawa
Nilituma ombi la Wi-Fi katika ofisi ya YAS ya TDR, lakini haingefanya kazi bila ziada ya 15,000. Baada ya kutuma ombi, walisema GB 22 zimeisha na nilihitaji kutumia 20,000 zaidi.
Great Choice
Saves me a bunch, always.
Fantastic app
User friendly and very easy to use. One tap u are good to go









